MAANA YA NENO POKE NA POKE BACK KATIKA FACEBOOK
Unaweza ikawa unaelewa maan ya poke kama ni salam ya kumpa kama vile mambo lakini ku a watu wanamaana mbaya na POKE wakidhani ni alama ya usumbufu.Zifuatazo ndio maana sahihi ya "POKE" kwenye facebook
1.Mtu anapoku-poke anataka kuchukua usikivu wako,ni alama ambayo haina maana ambayo hutumkia kuchukiza mtu
2.Kama utam-poke mtu ambaye si rafiki yako na yeye akarejesha poke(POKE BACK) basi uatapata fursa ya kutizama ukurasa wake hata kama yeye sio rafiki yako
3.Kwa hiyo KU-POKE ni kumruhusu mtu kutizama ukurasa wako wa facebook kwa muda wa siku tatu,hivyo anaweza kukujua wewe ni nani na anaweza kukuomba urafiki
Nadhani utakuwa umeelewa maana halisi ya "POKE" Ili kuonyesha umeelewa anza kupoke mpaka basi,ni-POKE hata mimi nami nitaku-POKE BACK
0 comments:
Post a Comment