Katibu wa
maendeleo ya jamii katika jiji la Abuja Nigeria, ametangaza ‘kiama’ kwa
wanawake wanaofanya ‘biashara ya kujiuza’ pamoja na wateja wao.
Amri hiyo imetolewa saa chache baada ya katibu mkuu huyo kutembelea maeneo mbali mbali ambayo yamebobea kwa biashara hiyo ambapo amejionea hali halisi
0 comments:
Post a Comment