TAARIFA KUHUSU KUNOLEWA KWA WAPIGA TANZANIA NA TAMWA

Mpiga picha wa The Guardian Ltd, Halima Kambi akifotoa picha kwa kutumia kamera aina ya Nikon wakati wa mafunzo ya upigaji picha makao makuu ya ofisi ya Tamwa novemba 25 na 26 mwaka huu ambayo pia yaliambatana na maadhimisho ya siku 16 za ukatili wa kijinsia, na maisha ya mwanamke ikihusisha wapiga picha wa picha za habari kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania bara na Zanzibar yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.


Mkufunzi wa mafunzo ya upigaji picha, Mwanzo Millinga kulia akimwelekeza jambo mmoja wa wapiga picha wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika ofisi za Tamwa Mwenge Mori Jijini Dar Es Salaam.

Mpiga picha mkuu wa The Guardian Ltd, Seleman Mpochi akiwaelekeza jambo wapiga picha hao wakati wa mafunzo hayo.
Mpiga Picha Joachim Mushi akiwaelekeza jambo wenzake wakati wa mafunzo hayo.
Mpiga Picha mkuu wa Tamwa Aika Kimaro akimwelekeza jambo mpiga picha wa habarileo mkoa wa Singida, Bertha Mjema katika mafunzo hayo.
Mkufunzi Millinga akiendelea na zoezi la upigaji Picha.

Rashid Mkwida kushoto akifuatilia jambo kutoka kwa mkufunzi Millinga.
Fredrick Katulanda mhariri kanda ya ziwa gazeti la Mtanzania naye akitoa uzoefu juu ya upigaji wa picha za habari zikiwemo kuripoti matukio ya unyanyasaji wa kijinsia.
Washiriki wakifuatilia mafunzo hayo.
Bertha Mjema kutoka Singida akijifunza jambo kupitia kamera ya canon katika 
SOURCE:JUMA MTANDA 
BOFYA HAPA KUSOMA HABARI MBALI MBALI ZA KITAIFA
                                           HABARI ZA KITAIFA
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment