raisi kikwete afanyiwa operesheni nchini marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula akimjulia hali Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi kabla ya Rais Kikwete kuanza mazoezi ya kutembea jana tarehe 9 Novemba 2014.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Daktari Bingwa Mpasuaji Edward Shaeffer muda mfupi kabla ya kuingia kwenye chumba cha upasuaji.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akielekea chumba cha upasuaji katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland Marekani Jumamosi asubuhi.Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu ulifanyika salama.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Dkt. Edward Shaeffer (kulia kutoka hospitali ya Johns Hopkins) na Daktari wa Rais Mohamed Janabi (kulia) muda mfupi baada ya kuwasili katika Hospitali ya Johns Hopkins ambapo alifanyiwa upasuaji.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment