Mrisho Ngassa, Mbwana Samata, Sure Boy, Thomas Ulimwengu, na Jonas Mkude wametajwa na mtandao wa Goal Com kugombea tuzo ya mchezaji bora wa Tanzania 2014. Je Unadhani nani anastahili kuwa mwanasoka bora wa Tanzania mwaka huu?
NANI KUWA NCHEZAJI BORA NCHINI TANZANIA KATI YA HAWA??
Mrisho Ngassa, Mbwana Samata, Sure Boy, Thomas Ulimwengu, na Jonas Mkude wametajwa na mtandao wa Goal Com kugombea tuzo ya mchezaji bora wa Tanzania 2014. Je Unadhani nani anastahili kuwa mwanasoka bora wa Tanzania mwaka huu?
0 comments:
Post a Comment